Jumapili, 22 Mei 2016

Mwanachuo aliemvamia Lecturer.

Mwanachuo wa St.Augustine Mwanza amvamia mkufunzi wakati kipindi kikiendelea, Mwanafunzi huyo wa Education mwaka wa pili alimvamia mwalimu baada ya kile kinachodaiwa kuwa mwalimu akilalia dini moja na kuibeba ingine. Ila kwa uchunguz uliofanyika na MkazuzuOne tumebahin izo tuhuma hazikuwa na ukweli wowote ule, na mwalimu alikua akisema yale yaliyoandikwa kwenye vitabu na si kuongea ayajuayo yeye.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni